Hebrews 6:13-14

13 aMungu alipompa Ibrahimu ahadi yake, kwa kuwa hakuwepo mwingine aliyekuwa mkuu kuliko yeye ambaye angeweza kuapa kwa jina lake, aliapa kwa nafsi yake, 14 bakisema, “Hakika nitakubariki na kukupa wazao wengi.”
Copyright information for SwhKC